2 Samuel 23:1

Maneno Ya Mwisho Ya Daudi

1 aHaya ni maneno ya mwisho ya Daudi: “Neno la Daudi mwana wa Yese,
neno la mtu aliyeinuliwa na Aliye Juu Sana,
mtu aliyepakwa mafuta na Mungu wa Yakobo,
mwimbaji wa nyimbo wa Israeli:

Copyright information for SwhKC